Vitu vitatu vya kuzingatia kabla hujabonyeza kitufe cha Record katika Kamera
Richstar
0:00 / 0:00
Vitu vitatu vya kuzingatia kabla hujabonyeza kitufe cha Record katika Kamera
31 601 просмотр · 8 л. назад
Richstar
63,3 тыс. подписчиков
31 601 просмотр · 8 л. назад
Video hii inaeleza na kuelekeza VITU vitatu muhimu vya kuzingatia kabla hujaanza kushoot au kurekodi video yako. Vitu hivyo ni
1. EXPOSURE
2. FRAME RATE
3. VIDEO COMPOSITION
Unaweza Kujipatia DVD za mafunzo yangu ya ku edit video kwa kutumia Premiere Pro kwa kupiga simu +255714250356 au +255744329352