Kabla ya Wazungu, Kulikuwa Mapapa Weusi wa afrika
Ahadi Divertissement
0:00 / 0:00
Kabla ya Wazungu, Kulikuwa Mapapa Weusi wa afrika
158 просмотров · 1 год назад
Ahadi Divertissement
154 подписчика
158 просмотров · 1 год назад
Je, umewahi kusikia kwamba Kanisa Katoliki liliwahi kuongozwa na mapapa weusi kutoka Afrika? Katika video hii ya kipekee, tunafukua historia iliyosahaulika ya mapapa wa Kiafrika — Papa Victor I, Papa Melkiad na Papa Gelasi I. Wao waliongoza katika nyakati ngumu, wakiacha alama kubwa katika Ukristo na historia ya dunia.
Tazama hadi mwisho ili kugundua ukweli uliofichwa kwa karne nyingi. Usisahau ku-like, kushiriki, na kujiandikisha kwa video zaidi za kihistoria kama hii.
#MapapaWaAfrika #HistoriaYaKweli #Ukristo #PapaVictor #PapaMelkiad #PapaGelasi #AfrikaNaUkristo #BlackPope #SwahiliHistory