Перейти к содержимому

Mkono wa msaada wa Ujerumani kwa wakimbizi

DW Kiswahili

0:00 / 0:00

Mkono wa msaada wa Ujerumani kwa wakimbizi

386 просмотров · 3 года назад
DW Kiswahili
335 тыс. подписчиков
386 просмотров · 3 года назад
Ujerumani imeendelea kuwa mstari wa mbele kuwasaidia wakimbizi wanaokimbia vita nchini Ukraine. Hivi sasa mamlaka za mji mkuu, Berlin, zinatumia maeneo mawili ya Uwanja wa Ndege wa zamani wa Tegel kama kambi za wakimbizi. Una neno gani la faraja kwa watu wote wanaolazimika kuacha nyumba zao na kukimbia mizozo duniani?