Ukweli Kuhusu DRONE | Zinafanyaje Kazi Haswa? (Episode 1)
Mohamed Hafidh Tz и Abdulrazak Mustafa
0:00 / 0:00
Ukweli Kuhusu DRONE | Zinafanyaje Kazi Haswa? (Episode 1)
494 просмотра · 3 недели назад
Mohamed Hafidh Tz и Abdulrazak Mustafa
494 просмотра · 3 недели назад
Katika Episode hii ya 1, tunaangazia ukweli wote kuhusu Drones! Je, Drone ni nini haswa, na teknolojia nyuma yake inafanyaje kazi? Kama umekuwa na shauku ya kujua jinsi hizi ndege zisizo na rubani (Unmanned Aerial Vehicles) zinavyoweza kuruka na kudhibitiwa, basi video hii ni kwa ajili yako.
Mimi na mwenzangu tunakupa mwongozo kamili na wa kwanza kabisa kukusaidia kuelewa misingi ya Drones kwa lugha rahisi kabisa, kabla hatujaingia kiundani zaidi kwenye episodes zinazofuata!
Kwenye video hii utajifunza:
Maana halisi ya Drone na jinsi inavyofanya kazi (Basic Mechanics).
Teknolojia muhimu zinazotumika (Kama vile Sensors na Flight Controllers).
Tofauti za Drones na matumizi yake katika maisha ya kila siku.
Mambo ya msingi ya kuzingatia kabla ya kununua au kurusha Drone yako ya kwanza.
Usisahau ku- SUBSCRIBE, ku-like, na kuacha comment yako hapo chini. Tuambie, ni kitu gani kingine ungependa tujadili kuhusu Drones kwenye Episode inayofuata?
🔗 TUWE PAMOJA KWENYE MITANDAO YA KIJAMII:
Tufuatilie kwenye Instagram ili kupata Updates na Behind the Scenes za utengenezaji wa video zetu:
👤 Host :
/ @mohamedhafidh255
👤 Co-Host:
https://www.instagram.com/abdulrazak_...
🎬 Karibu Mohamed Hafidh Tz – Swahili Tech Learning Hub! 🚀
Kwenye channel hii utajifunza teknolojia kwa urahisi kupitia tutorials za hatua kwa hatua kwa Kiswahili.
💻 Topics kuu:
👉 Computer tutorials (Excel, Word)
👉 Google tools (Docs, Forms, Drive)
👉 Programming for beginners
👉 Tips & tricks za simu na kompyuta
👉 Graphic design & software usage
🔥 Mafunzo rahisi, practical na yanafaa kwa beginners.
───────
🔔 Subscribe kupata tutorials mpya kila wiki:
/ @mohamedhafidh255
───────
🌐 Nifollow pia:
WhatsApp: https://chat.whatsapp.com/JNKq7IDzVcU...
Telegram: https://t.me/mohamedhafidh_tz
Instagram: / mohamedhafidh_tz
TikTok: / mohamedhafidh_tz
🙏 Asante kwa support!
#drones #dji #mohamedhafidh