Перейти к содержимому

SERIKALI YAUKOSOA MPANGO WA UFUNGAJI MGODI WA BUZWAGI

Wazohuru Media

0:00 / 0:00

SERIKALI YAUKOSOA MPANGO WA UFUNGAJI MGODI WA BUZWAGI

17 387 просмотров · 7 лет назад
Wazohuru Media
20,1 тыс. подписчиков
17 387 просмотров · 7 лет назад
Na George Binagi-GB Pazzo Serikali imeitaka kampuni ya Acacia kuandaa na kuwasilisha haraka mpango mpya wa urejeshaji mazingira katika hali yake ya kawaida baada ya kusitisha shughuli za uchimbaji dhahabu katika mgodi wa Buzwagi uliopo wilayani Kahama ifikapo mwaka 2020. Naibu Waziri wa Madini, Doto Biteko aliyasema hayo jana alipofanya ziara katika mgodi huo kukagua shughuli zinazoendelea mgodi hapo. Mapema mwaka huu pia Wizara ya Madini ilitaka mpango uliokuwa umeandaliwa na kampuni hiyo kuboreshwa ambapo ulikadiriwa kutumia dola milioni 18 kurejesha mazingira ya mgodi wa Buzwagi katika hali ya kawaida, ikisema mpango huo haukujumuisha kufukiwa baadhi ya mashimo mgodini hapo (tazama picha), bali yabaki wazi hadi yatakapojaa maji katika kipindi cha miaka 100 ijayo.