Перейти к содержимому

Watanzania Waungana Kuomba Kwaajili ya Uchaguzi mkuu Kenya

BONGO NEWS TV

0:00 / 0:00

Watanzania Waungana Kuomba Kwaajili ya Uchaguzi mkuu Kenya

265 просмотров · 4 года назад
BONGO NEWS TV
954 тыс. подписчиков
265 просмотров · 4 года назад
Jumatatu hii Aug 08,2022 Wanamaombezi wa kanisa la Rhema Prophetic Fellowship Tanzanaia wameungana na wananchi wa Kenya katika kuombe uchaguzi mkuu wa Rais wa nchini Kenya utakaofanyika August 9, 2022. Maombi hayo yaliyoongozwa na nabii Trizah ambaye ameeleza kuwa ni kiu ya wanaafrika mashariki wote kuona Kenya ikifanya uchaguzi wa uhuru na haki bila kusababisha maasi ya aina yoyote. #kenyaelection2022 #kenyanews #Kenya