Перейти к содержимому

UCHOYO UNAVYOWATESA WAUMINI WA KANISA LEO || PR. KENAN MWASOMOLA

Pizzo Online TV

0:00 / 0:00

UCHOYO UNAVYOWATESA WAUMINI WA KANISA LEO || PR. KENAN MWASOMOLA

5 просмотров · 2 недели назад
Pizzo Online TV
11,9 тыс. подписчиков
5 просмотров · 2 недели назад
Uwakili ni zaidi ya fedha — ni namna tunavyotumia na kusimamia kwa uaminifu kila kitu ambacho Mungu ametukabidhi. Katika Masomo haya ya Uwakili, Pn. Kenan Mwasomola anatufundisha umuhimu wa kuwa mawakili waaminifu mbele za Mungu na kutafakari wajibu wetu katika kusimamia kile tulichokabidhiwa. 🙏 Tazama somo hili hadi mwisho, tafakari ujumbe wake, na ushiriki nasi: 👉 Je, wewe ni mwakili mwaminifu wa kile ambacho Mungu amekukabidhi? 💬 Andika maoni yako kwenye comment section. 👍 Like video kama umebarikiwa. 📲 Share na wengine ili ujumbe huu uwafikie wengi. 🔔 Subscribe na uwashe notification kwa masomo zaidi ya uwakili na mafundisho ya kiroho. MADA: MASOMO YA UWAKILI MWALIMU: Pr. Kenan Mwasomola #MasomoYaUwakili #Uwakili #ChristianStewardship #UwakiliWaKikristo #Stewardship #Mungu #Imani #Mkristo #Biblia #NenoLaMungu #MaishaYaKikristo #ElimuYaKikristo #MafundishoYaKikristo #SeventhDayAdventist #SDA #Tanzania #KenanMwasomola Welcome to this session; we believe that it will add something to your growth spiritually, academically, socially and inspirationally. ______________________________________________________ We are also available on the Following Social Medias, Please follow us Facebook || https://www.facebook.com/profile.php?... Instagram ||   / pizzoonlinetv   Tiktok ||   / pizzo.online.tv   Twitter (X) || https://x.com/PizzoOnlineTV?t=5mNqPiN... _________________________________________________________ Go Live, Stay Connected.