Перейти к содержимому

Moja ya huduma tunayoifanya Sisi FAMILIA YA IJUE KWELI YA NENO LA MUNGU ni UPENDO KWA MATENDO.

IJUE KWELI YA NENO LA MUNGU TV

0:00 / 0:00

Moja ya huduma tunayoifanya Sisi FAMILIA YA IJUE KWELI YA NENO LA MUNGU ni UPENDO KWA MATENDO.

25 просмотров · 2 мес. назад
IJUE KWELI YA NENO LA MUNGU TV
65 подписчиков
25 просмотров · 2 мес. назад
IJUE KWELI YA NENO LA MUNGU. NI huduma yenye washirika na viongozi walioamua Kuishi , Kutenda na Kuhubiri KWELI YA NENO LA MUNGU. Katika kufanya hivyo, Tunaishi UPENDO KWA MATENDO. Hapa Ni charity ya 07|03|2026. iliyofanyika KITUO cha MTOTO WA AFRICA BUSWELU. KAZI Yetu NI kupeleka sadaka zetu na Kufanya IBADA PAMOJA na watoto pamoja na KUWAOMBEA. Tutakuwa na Charity mwezi huu TRH 29|08|2026. nakukaribisha kushiriki Baraka hizi Kwa kupiga namba hizi 0762487638.