Перейти к содержимому

Tembea Nami Bwana by Joseph Rimisho

Mike King'oo

0:00 / 0:00

Tembea Nami Bwana by Joseph Rimisho

2 438 просмотров · 4 года назад
Mike King'oo
3,24 тыс. подписчиков
2 438 просмотров · 4 года назад
Wimbo:Tembea Nami Bwana Mtunzi:Joseph Rimisho Organist:Mike King'oo Maneno Ya Wimbo (Tembea nami Bwana Yesu usiniache njiani, na mwisho wa safari yangu nifike kwa usalama, maana wewe ndiwe uzima na usalama wangu, usiniache usinitupe ewe mwokozi wangu)×2 1. Nami nitembee kwa usalama nikusifu wewe Bwana, katika nchi za walio hai nikusifu milele. 2. Katika shida zangu wewe ni msaada wa karibu, sitaziacha njia zako naomba usiniache. 3. Sitazisahau fadhili zako katika maisha yangu, milele yote nitakusifu kwa nyimbo za furaha For more information contact me at +254798102274