Перейти к содержимому

Wanga na sukari unatesa wengi Jinsi ya kuacha, wenye kitambi na magonjwa ya lishe.

Dr Boaz Mkumbo MD

0:00 / 0:00

Wanga na sukari unatesa wengi Jinsi ya kuacha, wenye kitambi na magonjwa ya lishe.

8 879 просмотров · 7 лет назад
Dr Boaz Mkumbo MD
101 тыс. подписчиков
8 879 просмотров · 7 лет назад
Vyakula vya wanga na sukari vina sifa hizi kwa mwenye kitambi na maradhi ya lishe 1. Ni kundi pekee ukila kupindukia unakuwa na dalili za uteja kama mlevi wa madawa ya kulevya 2. Vyakula ambavyo huwa havikinai. wala kuchefua unaweza kumaliza mfuko mzima wa biskuti bila kupata kichefu chefu. soda je? Juisi je? Ubwabwa je? 3. Vyakula ambavyo ukiviingiza mwilini vibaenda kubadilishwa kuwa Mafuta na kurundikana kwenye viungo vya mwili na kuharibu mwonekano wako. 4. Vyakula pekee ambavyo ni vigumu kuacha unapo vizoea kwa sababu ya uteja 5. Vyakula pekee ukila kupindukia unanenepa kwa kasi na kupata kisukari. Mengi nimeeleza katika kitabu cha SAYANSI YA MAPISHI.