Ibada ya Vijana:Mungu Ni Mlinzi Wetu.
THE GOLD VOICE
0:00 / 0:00
Ibada ya Vijana:Mungu Ni Mlinzi Wetu.
242 просмотра · 1 год назад
THE GOLD VOICE
1,83 тыс. подписчиков
242 просмотра · 1 год назад
Katika safari ya Ujana Tunakutana Na Kila Aina Ya Hatari Mfanano wa yale Walokutana nayo Wenza wetu Katika Mungu .Akina Daudi na wenzake Wote Walojitoa kimasomaso Kumtumainia Mungu.
Vivyohivyo Hata Kizazi cha Sasa Kinakabiliana na Majanga Mengi Sana .Hususa Katika Rika la Ujana,Kila Janga Lina mtaka Kijana,kwani huyo ndiye nguvu Kazi ya Mungu Na kazi yake.
Hata hivyo Hatuogopi,Tunapambana Kusimama ili Mungu Atambue Kuwa sisi Hatuna Msaada Mwingine Ila Yeye,Asisizie Yeye Atulindae kwani Tumaini Letu li mikononi Mwake daima.
Ujana ni safari Na Hatupaswi Kuogopa Licha Ya Maumivu Mengi ila Mungu Atatushindia Duniani na Mbinguni Atatufikisha Mwenyewe Kama atakuwa ametuhesabu Kuwa ni wakukombolewa Maana sisi bila yeye Si chochote Siku Zote.
SUBSCRIBE ,SHARE,LIKE NA COMMENT
Kile Umejifunza Kupitia masomo Yetu ya channel hii.#trends#videos#worship##god#news#nac#youtube.