MTUMAINI BWANA - Adam Bukuku St. Joseph Choir MWECAU
St.Joseph Choir Mwecau
0:00 / 0:00
MTUMAINI BWANA - Adam Bukuku St. Joseph Choir MWECAU
6 680 просмотров · 2 года назад
St.Joseph Choir Mwecau
5,96 тыс. подписчиков
6 680 просмотров · 2 года назад
Wanakwaya wa Mt. Yosefu Mume wa Bikira Maria Chuo Kikuu cha Kikatoliki Mwenge (MWECAU), Wanawaletea wimbo uliopo kwenye Album yao Mpya unaokuja kwa jina la MTUMAINI BWANA.
Wanawakaribisha kuusikiliza na kuutazama wimbo huu ukiwa unatukumbusha kumtumaini Mungu pekee kwenye kila jambo pasipo kutegemea nguvu na akili zetu wenyewe