Перейти к содержимому

Ni Salama Rohoni Mwangu | Irene Michael | Nyimbo Za Kristo #hymns

Nyimbo Za Kristo SDA

0:00 / 0:00

Ni Salama Rohoni Mwangu | Irene Michael | Nyimbo Za Kristo #hymns

18 439 просмотров · 1 год назад
Nyimbo Za Kristo SDA
36 тыс. подписчиков
18 439 просмотров · 1 год назад
Nionapo amani kama shwari, au nionapo shida; Kwa hali zote umenijulisha ni salama rohoni mwangu. CHORUS Salama rohoni, Ni salama rohoni mwangu. Ingawa Shetani atanitesa, nitajipa moyo kwani, Kristo ameona unyonge wangu; amekufa kwa roho yangu. Dhambi zangu zote, wala si nusu, huwekwa msalabani; Wala sichukui laana yake, ni salama rohoni mwangu. Ee Bwana himiza siku ya kuja, panda itakapolia; Utakaposhuka sitaogopa ni salama rohoni mwangu. Singer: Irene Michael Song: Ni Salama Rohoni Mwangu Producer: Mr RJ | RJ STUDIO You are welcome