🔴 LIVE | SIKU YA PILI YA KAMBI YA MAOMBI | KIPINDI CHA KWANZA | MCH. YOHANA MADAI
CYM Tv FPCT Airport
0:00 / 0:00
🔴 LIVE | SIKU YA PILI YA KAMBI YA MAOMBI | KIPINDI CHA KWANZA | MCH. YOHANA MADAI
188 просмотров · Трансляция закончилась 3 недели назад
CYM Tv FPCT Airport
961 подписчик
188 просмотров · Трансляция закончилась 3 недели назад
Karibu kwenye matangazo ya moja kwa moja ya Siku ya Pili ya Kambi ya Maombi – Kipindi cha Kwanza, kinachoongozwa na Mch. Yohana Madai.
Jiunge nasi katika ibada hii ya maombi, sifa na kuabudu, pamoja na Neno la Mungu lenye kuleta uamsho na mabadiliko ya maisha.
🙏 Usisahau:
Subscribe kwenye channel yetu.
Bonyeza alama ya kengele (🔔) ili upate taarifa za matangazo yajayo.
Like, Share na Comment ili kuwafikia wengine kwa Injili ya Kristo.
Mungu akubariki kwa kuungana nasi! 🔥🙏