Перейти к содержимому

SHUHUDIA POLISI MTAALAM WA GWARIDE ANAVYOVUNJA MBAVU

Global TV Online

0:00 / 0:00

SHUHUDIA POLISI MTAALAM WA GWARIDE ANAVYOVUNJA MBAVU

388 546 просмотров · 8 лет назад
Global TV Online
5,92 млн подписчиков
388 546 просмотров · 8 лет назад
SHUHUDIA POLISI MTAALAM WA GWARIDE ANAVYOVUNJA MBAVU Jina Lake anaitwa Koplo Ibrahim, askari Polisi anayefanyia kazi kituo cha Osterbay, mkoa wa kipolisi Kinondoni, jijini Dar es Salaam. Amekua akiwavutia watu wengi kutokana na uendeshaji wake wa Gwaride kutokana na staili yake kuwavunja watu mbavu. Akizungumza na Global TV, Koplo Ibrahim amelishukuru jeshi la polisi kwa kutambua dhana ya polisi jamii ambayo imelenga kuwafahamisha wananchi wote umuhimu wa ulinzi na usalama si jukumu la polisi tu bali ni la kila mwananchi. Subscribe muda huu    / uwazi1   Install #GlobalPublishersApp Android: http://bit.ly/2AAQe1d iOS: http://apple.co/2Assf4M Subscribe    / uwazi   FACEBOOK:   / globalpublis.  . TWITTER:   / globalhabari   Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe    / uwazi1   Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya…    / uwazi1      / uwazi1      / uwazi1   WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK:   / globalpublis.  . TWITTER:   / globalhabari   INSTAGRAM:   / globalpubli  .