MAOMBI JUU YA KINYWA ARIDHINI | Pastor John Sembatwa
Pastor John Sembatwa
0:00 / 0:00
MAOMBI JUU YA KINYWA ARIDHINI | Pastor John Sembatwa
277 просмотров · 4 дня назад
Pastor John Sembatwa
8,64 тыс. подписчиков
277 просмотров · 4 дня назад
Baada ya somo la kina na la kufungua masikio kuhusu "Kinywa Ndani ya Ardhi", Mchungaji Pastor John Sembatwa anatuletea mwendelezo wa maombi haya mazito ya kurejesha amani, baraka, na kufunguliwa kutoka kwenye kifungo chochote cha kiroho cha ardhi.
Ardhi ina maana kubwa katika ulimwengu wa roho. Ungana nasi katika maombi haya ili kuvunja nguvu za giza na kuamsha sauti ya ushindi juu ya maisha yako, familia yako, na kazi za mikono yako!
🔔 USISAHAU:
Ku-Subscribe kwenye channel hii ili usipitwe na masomo na maombi mengine.
Kuacha Comment yako ya "Amen" au ombi lako la maombi.
Ku-Like na ku-Share video hii na ndugu, jamaa, na marafiki ili waweze kubarikiwa!
📲 TUKUANGAILIE / TAWASILIANA NASI:
👤 Mtumishi wa Mungu: Pastor John Sembatwa
📞 Simu / WhatsApp: +255 757 073 926
📍 Mahali / Kanisa: https://maps.app.goo.gl/Smfbud897qgYD...
🌐 Social Media: https://www.instagram.com/pastorjohns...