Перейти к содержимому

Maelekezo mafupi juu ya namna ya kutumia camera aina ya Sony NX 5.

Mringoarts

0:00 / 0:00

Maelekezo mafupi juu ya namna ya kutumia camera aina ya Sony NX 5.

1 268 просмотров · 5 лет назад
Mringoarts
389 подписчиков
1 268 просмотров · 5 лет назад
Hatua za awali za kuchukua kabla ya kuanza kuchukua matukio ya picha jongevu kwa kutumia camera aina ya Sony NX 5 japo kwa hatua hizi pia zitakusaidia pia endapo utakutana na camera aina ya camcorder. Kumbuka kuwa si mambo yote yameelezwa katika video hii bali machache ila kwa upana wake utakao msaidia mtumiaji kuweza kujua japo hatua za awali.