Samson Mangula_-_Niepushie(official video)
samson mangula
0:00 / 0:00
Samson Mangula_-_Niepushie(official video)
883 просмотра · 8 дн. назад
samson mangula
551 подписчик
883 просмотра · 8 дн. назад
Song: NIEPUSHIE
Artist: Samson Mangula-Niepushie
Prod: Deo Ondis
Dir.: Jess
Napenda kumshukuru MUNGU kipekee sana maana pekeyangu nisingeweza kabisa, bali kwa mkono wake akatuma watu kwaajili yangu lakini zaidi kwaajili ya utukufu wajina lake. Basi sasa wimbo huu ukawe sehemu ya baraka na faraja kwa watu wote watakaopata naafasi ya kuusikia.
Pia nawashukuru wote waliohusika kwa namna moja ama nyingine katika kufanikisha wimbo huu na Mungu awabariki sana.