MKURUGENZI MANYONI AWAKARIBISHA WANANCHI BANDA LA MANYONI – NANENANE 2026
Manyonidc
0:00 / 0:00
MKURUGENZI MANYONI AWAKARIBISHA WANANCHI BANDA LA MANYONI – NANENANE 2026
154 просмотра · 1 месяц назад
Manyonidc
107 подписчиков
154 просмотра · 1 месяц назад
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Manyoni Bi. Anastazia Tutuba akiwaalika wananchi na wadau wa kilimo, mifugo na uvuvi kujitokeza kwenye Maonesho ya Nanenane katika Viwanja vya John Samuel Malecela Nzuguni Dodoma, hususani kwenye mabanda ya Halmashauri ya Wilaya ya Nanyoni ili waweze kujifunza teknolojia za kisasa za kilimo, ufugaji na uvuvi pamoja na biashara za sekta hizo