TAZAMA MUONEKANO NA UZURI WA UWANJA WA AFCON ARUSHA
Sentro Media
0:00 / 0:00
TAZAMA MUONEKANO NA UZURI WA UWANJA WA AFCON ARUSHA
54 просмотра · 4 дн. назад
Sentro Media
203 подписчика
54 просмотра · 4 дн. назад
Uwanja wa Arusha unaendelea kung’ara huku ukikaribia kukamilika, ukiwa umefikia hatua za mwisho za ujenzi na ukarabati wa miundombinu yake, Mwonekano wake wakati wa usiku unaendelea kuonesha sura mpya ya kisasa, ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya Tanzania kuelekea mashindano ya AFCON 2027.
Uwanja huu unatarajiwa kuwa miongoni mwa miundombinu muhimu itakayoongeza mvuto wa Arusha katika mapokezi ya wageni na mashabiki wa soka kutoka ndani na nje ya nchi. Kadiri kazi za mwisho zinavyokamilika, Arusha inaendelea kujipambanua kama moja ya maeneo yatakayokuwa na nafasi muhimu katika kufanikisha maandalizi ya AFCON 2027.