Shule ya upili ya Chewoyet ilioko West Pokot yavutia wanafunzi wengi kutokana na historia yake
Citizen TV Kenya
0:00 / 0:00
Shule ya upili ya Chewoyet ilioko West Pokot yavutia wanafunzi wengi kutokana na historia yake
9 931 просмотр · 3 года назад
Citizen TV Kenya
6,69 млн подписчиков
9 931 просмотр · 3 года назад
Kwa miaka mingi, Shule ya upili ya Chewoyet kaunti ya West Pokot imekuwa kivutio cha utalii, kwani baadhi ya majengo yake ni mahakama iliyowahukumu mashujaa sita waliopigania uhuru gerezani. Lakini sasa wengi wa wanafunzi pia wana ari ya kujiunga na shule hiyo, ili kusomea kwenye majengo hayo, ambayo yamefanya shule hiyo kuwa na idadi kubwa ya wanafunzi.