BIG WA SIMBA "JINI LIMETOKA MGANGA YUPO HOI" - TUMEPATA USHINDI ILA NAMUNGO WAMETUONYESHA
Global TV Online
0:00 / 0:00
BIG WA SIMBA "JINI LIMETOKA MGANGA YUPO HOI" - TUMEPATA USHINDI ILA NAMUNGO WAMETUONYESHA
3 988 просмотров · 1 дн. назад
Global TV Online
5,99 млн подписчиков
3 988 просмотров · 1 дн. назад
BIG WA SIMBA "JINI LIMETOKA MGANGA YUPO HOI" - TUMEPATA USHINDI ILA NAMUNGO WAMETUONYESHA
Shabiki maarufu wa Simba SC, Big wa Simba, akizungumza baada ya mchezo mkali na wenye ushindani mkubwa dhidi ya Namungo FC ambapo Simba ilifanikiwa kuondoka na ushindi wa magoli 3-2.
Big anafunguka kuhusu mabadiliko ya Doumbia yaliyomshangaza na kuleta ushindi, ugumu wa ligi, na kueleza furaha yake ya pointi tatu muhimu licha ya Namungo kuonyesha upinzani mkali.
#SimbaSC #NamungoFC #BigWaSimba #NBCPremierLeague #GlobalTVOnline #LigiKuuBara
============================================================
⚫️ JE, UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 760 403894 or 255 719 401968)
⚫️ Email: globaltvonline.newsdesk@gmail.com