TUCASA KIUT Choir - HUKUMU (Official Audio)
KIU TUCASA CHOIR
0:00 / 0:00
TUCASA KIUT Choir - HUKUMU (Official Audio)
569 просмотров · 5 лет назад
KIU TUCASA CHOIR
559 подписчиков
569 просмотров · 5 лет назад
Hii ndiyo jumla ya maneno; yote yamekwisha sikiwa; Mche Mungu, nawe uzishike amri zake, Maana kwa jumla ndiyo impasayo mtu. Kwa maana Mungu ataleta hukumuni kila kazi, pamoja na kila neno la siri, likiwa jema au likiwa baya.
Mhu 12:13-14
Hakika siku hiyo Kila lugha, jamaa na Kabila litashuhudia ya kwamba Hukumu zake ni za kweli na za Haki.
Karibu kusikiliza wimbo kutoka TUCASA KIUT Choir wenye jina #Hukumu
Composer: Dolla John Selestine
Arrangement: Dolla John Selestine
Audio: Wazamani Studio
Art: mOOber
Producer: Pro. Dolla
Contacts: 0765443844/0743410535
Instagram: @tucasakiut
Be Sure to Subscribe, Like and Comment.