Перейти к содержимому

Je, Muhammad alitabiriwa katika Biblia? Mjadala Moto Kati ya Evangelist Erupe na Sheikh Athman Abbas

Abass Online Tv, Daawa Kenya

0:00 / 0:00

Je, Muhammad alitabiriwa katika Biblia? Mjadala Moto Kati ya Evangelist Erupe na Sheikh Athman Abbas

3 123 просмотра · 1 г. назад
Abass Online Tv, Daawa Kenya
11,2 тыс. подписчиков
3 123 просмотра · 1 г. назад
Cheche za Mjadala Mkali Kati ya Sheikh Abbas na Evangelist Erupe: Je, Biblia Inamtabiri Mtume Muhammad? Hoja Zito za Utafiti wa Maandiko ya Biblia na Qur'an Zinaangaziwa katika Kipindi ya kipekee, 'RISALA' Ndani ya Iqra FM 95.0" Katika kipindi hiki, pande zote mbili zimewasilisha hoja kali na za kina kuhusu tafsiri za maandiko ya Biblia na Qur'an. Sheikh Abbas anasisitiza kwamba baadhi ya aya za Biblia, kama Kumbukumbu la Torati 18:18 na Yohana 14:16, zinatabiri ujio wa Mtume Muhammad, akielezea sifa na matukio yanayolingana na maisha na ujumbe wake. Kwa upande mwingine, Evangelist Erupe anadai kuwa aya hizo zinamhusu Yesu Kristo na Roho Mtakatifu, akibainisha tofauti za imani na tafsiri za Kikristo. Majadiliano haya yanachambua kwa kina masuala ya ufunuo, unabii, na historia ya dini, na kuibua mjadala wa kina kuhusu utabiri wa Biblia kuhusu ujio wa Nabii Muhammad... Hii ni fursa muhimu kwa wasikilizaji kuelewa mafundisho ya Quran na Biblia kuhusu utabiri wa Nabii Muhammad. usikose kutizama video hii.