Перейти к содержимому

Dr Annoint Amani - Anadai Talaka ( Official music video )

Dr. Annoint Amani

0:00 / 0:00

Dr Annoint Amani - Anadai Talaka ( Official music video )

440 155 просмотров · 9 месяцев назад
Dr. Annoint Amani
407 тыс. подписчиков
440 155 просмотров · 9 месяцев назад
#anadaitalaka#drannointamani# Mungu alipe kanisa macho ya Rohoni, Ili kuenenda sawa na nyakati tulizo nazo, Shetani ametutangulia mbele kwa kila eneo ndo maana kanisa limepooza sana hakuna moto kama wa kwanza, Ni kwa sababu kuna maeneo muhimu kanisa linashindwa kwenda kwa mwongozo wa Roho wa Mungu, linaenda kwa mazoea na kukalili maandiko bila mwongozo wa Roho mtakatifu ,Ili atusaidie kama kanisa kwa nyakati hizi tuenende vipi, Ili tusimkoseshe Bwana Yesu mavuno kwa kuwatawanya kondoo wake bila mchungaji 🙆 ( KWA NYAKATI HIZI TUNAHITAJI HEKIMA YA ROHO MTAKATIFU KULIKO NYAKATI ZOZOTE ZILIWAHI KUPITA ) Dr Annoint Amani 👇 Tiktok,FB ,Inst. Dr Annoint Amani . Whatsapp 👇 +255755099942 = +255767240181 East Afrika Tanzania 🇹🇿) 👇 Video, Directed by Jerry Fx ( +255 718 126 958 ) AUDIO ,A.E.A TONES & PAMOJA RECORD )