BAADA YA KIAPO - DKT MLACHA ATANGAZA VITA DHIDI YA CHANGAMOTO ZA BARABARA..
Global TV Online
0:00 / 0:00
BAADA YA KIAPO - DKT MLACHA ATANGAZA VITA DHIDI YA CHANGAMOTO ZA BARABARA..
596 просмотров · 4 ч назад
Global TV Online
5,96 млн подписчиков
596 просмотров · 4 ч назад
BAADA YA KIAPO - DKT MLACHA ATANGAZA VITA DHIDI YA CHANGAMOTO ZA BARABARA..
@Mtima
Mkuu wa Wilaya ya Kahama, Dkt. Francis Mlacha, ameapishwa leo na Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, katika hafla ya kumwingiza rasmi kwenye majukumu yake ya kuiongoza Wilaya hiyo.
Akizungumza mara baada ya kuapishwa, Dkt. Mlacha amesema atahakikisha anakuwa kiungo na daraja imara kati ya Serikali na wananchi, kwa kusikiliza na kufanyia kazi changamoto zinazowakabili wananchi wa Kahama.
============================================================
⚫️ JE, UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 760 403894 or 255 719 401968)
⚫️ Email: globaltvonline.newsdesk@gmail.com