Перейти к содержимому

DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | 09.10.2026 | Asubuhi | Swahili Habari leo | Podcast

DW Kiswahili

0:00 / 0:00

DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | 09.10.2026 | Asubuhi | Swahili Habari leo | Podcast

4 738 просмотров · Трансляция закончилась 4 часа назад
DW Kiswahili
336 тыс. подписчиков
4 738 просмотров · Трансляция закончилась 4 часа назад
Tunakutana tena katika Dunia Yetu Leo Asubuhi na kati ya meng haya tumeyapa kipaumbele:- Takriban watu 34 wamefariki dunia nchini Ukraine baada ya bomu la Urusi kulipuka karibu na kituo cha mabasi ya abiria katika mji wa Kramatorsk, Ukraine. Rais wa Marekani Donald Trump amesema hatatoa amri ya kuanzishwa tena kwa mashambulizi ya kijeshi dhidi ya Iran kabla ya uchaguzi. #dwkiswahili #DWSwahili #HabariLeo #RipotiNaUchambuzi #TaarifaYaHabari #DWKiswahiliPodcast /Ukitaka kupata habari zetu kila siku, bonyeza 'subscribe' kwenye chaneli yetu ya DW Kiswahili.