🔴#LIVE: PROPHET HEBRON || KUTUBU NA KUJITETEA KWA MUNGU
Prophet Hebron Wilson Kisamo
0:00 / 0:00
🔴#LIVE: PROPHET HEBRON || KUTUBU NA KUJITETEA KWA MUNGU
1 357 просмотров · Трансляция закончилась 3 г. назад
Prophet Hebron Wilson Kisamo
60,2 тыс. подписчиков
1 357 просмотров · Трансляция закончилась 3 г. назад
Karibu kwenye ibada ya maombezi na kufunguliwa Leo tarehe 30/12/2022 kuanzia saa kumi na moja jioni na kuendelea kwa saa za Afrika Mashariki. Utafunguliwa vifungo mbalimbali na kuwekwa huru, Wajulishe ndugu, jamaa na marafiki kwa kusambaza ujumbe huu wapate kushiriki baraka hizi. Kwa msaada zaidi tupigie +255 759 253 593, Watu wote mnakaribishwa!
SOMO: KUTUBU NA KUJITETEA KWA MUNGU
AYUBU 22:21-23
1YOH 1:5-10
MITH 28:13