Перейти к содержимому

Unapenda kujua maisha ya Norway? Mtanzania Alice Mtui anayaonesha kwenye channel yake hii ya YouTube

Simulizi Na Sauti

0:00 / 0:00

Unapenda kujua maisha ya Norway? Mtanzania Alice Mtui anayaonesha kwenye channel yake hii ya YouTube

38 383 просмотра · 5 лет назад
Simulizi Na Sauti
1,65 млн подписчиков
38 383 просмотра · 5 лет назад
Alice Mtui ni Mtanzania aishiye nchini Norway. Pamoja na kufanya kazi huko, ana channel yake ya YouTube iitwayo From Tanzania and Norway ambayo huitumia kuongelea maisha na tamaduni za nchi hizo mbili. Unaweza kusubscribe kwenye channel yake kwa kufuata link hii:    / fromtanzaniatonorway