UKWELI KUHUSU CHANZO CHA SHEIKH SAID MWIRIGI KUTISHIWA MAISHA
Towfiq Islamic Preachers Of Kenya
0:00 / 0:00
UKWELI KUHUSU CHANZO CHA SHEIKH SAID MWIRIGI KUTISHIWA MAISHA
710 просмотров · 3 дня назад
Towfiq Islamic Preachers Of Kenya
7,92 тыс. подписчиков
710 просмотров · 3 дня назад
sababu kuu ya sheikh saidi MWIRIGI na kundi ya Yusuf wambugu kutishiwa Maisha..ni watu watu wanaotaka kuchukuwa gari ya dawaah.iliyo changiwa na waislamu.wakati wa Uhai ya sheikh Yusuf wambugu..na gari kuandikwa jina lake kwenye long book..baada ya kifo Cha sheikh Yusuf wambugu,mke wake amebadilisha long book Kwa jina lake.sasa awatumia wahuni kumtishia na kumudhihaki sheikh saidi mwirigi.na wenzake ili wachukuwe Hilo gari.sikiza video adi mwisho Kwa taarifa kamili. #trending #funny #nothingimposibleinthisworld