Перейти к содержимому

Maalim Seif amwambia Balozi Seif wana kitabu cha maovu yake

Weyani Tv

0:00 / 0:00

Maalim Seif amwambia Balozi Seif wana kitabu cha maovu yake

58 035 просмотров · 6 л. назад
Weyani Tv
99 тыс. подписчиков
58 035 просмотров · 6 л. назад
Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya chama cha ACT Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad, amesema wao wana jalada lote la kile alichokiita "uchafu" uliofanywa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi, yakiwemo masuala ya kuchukuwa ardhi za watu na ufisadi. Nini mtazamo wako?