WASIA WA MWISHO WA MTUME ﷺ KWA WAUMINI KABLA YA KUFARIKI Sheikh Nassoor Bachu
Madrasatulfurqani Tv
0:00 / 0:00
WASIA WA MWISHO WA MTUME ﷺ KWA WAUMINI KABLA YA KUFARIKI Sheikh Nassoor Bachu
3 909 просмотров · 2 нед. назад
Madrasatulfurqani Tv
47,1 тыс. подписчиков
3 909 просмотров · 2 нед. назад
WASIA WA MTUME ﷺ KWA WAUMINI KABLA HAJAFARIKI – SEHEMU YA 2
Katika kipindi hiki, Sheikh Nassoor Bachu anaendelea kufafanua wasia wa mwisho wa Mtume Muhammad ﷺ aliouusia Ummah siku chache kabla ya kufariki kwake. Ni mawaidha yanayohusu kushikamana na Swala, kumcha Allah, haki za waumini na kuishi kwa uadilifu.
“Hakika katika Mtume wa Mwenyezi Mungu mnayo ruwaza njema.” (Qur’an 33:21)
Ikiwa umefaidika na darsa hii, jisajili, bonyeza Like, na Share ili ujumbe wa kheri uwafikie Waislamu wengi zaidi.
#SheikhNassoorBachu #WasiaWaMtume #MawaidhaYaKiislamu