Перейти к содержимому

MBARIKIWA MWAKIPESILE AFICHUA SIRI KIFO CHA MUIMBAIJI WA ZABRON SINGERS | WAMEMTOA SADAKA

MADORA TV

0:00 / 0:00

MBARIKIWA MWAKIPESILE AFICHUA SIRI KIFO CHA MUIMBAIJI WA ZABRON SINGERS | WAMEMTOA SADAKA

55 010 просмотров · 2 года назад
MADORA TV
126 тыс. подписчиков
55 010 просмотров · 2 года назад
#mbarikiwamwakipesile #zabronsingers Wapendwa Watanzania! Tumepata ujumbe kutoka kwa Mch. Mbarikiwa Mwakipesile ambaye anatumikia kifungo katika Gereza la Ruanda, Mbeya. Kupitia salaam hizo tumeweza kufahamu hali yake akiwa gerezani pamoja na changamoto zake ndani ya gereza. Mch. Mbarikiwa anatumikia kifungo kwa kosa la kuendesha huduma za Kanisa bila ya usajili. Mch. Mbarikiwa alifanikiwa pia kuikatia rufaa hukumu hiyo ya mahakama ambapo ameeleza kuwa tarehe 12 Februari 2024 ndio hukumu ya rufaa yake itakapotolewa. Katika salaam zake kwetu, ameeleza magumu kadhaa anayopitia akiwa gerezani pamoja na mazingira ya kesi yake pamoja na maisha ya mke na watoto wake. Mambo hayo kwa sasa hatutaweka hadharani, tutayatunza kichungaji lakini tutayafuatilia kwa karibu sana. Lakini ni vizuri watu wakajua kuwa sisi tutafuatilia kila jambo linalomsibu Mbarikiwa akiwa gerezani! Wakati tukifuatilia malalamiko yake, sisi Askofu tunamsihi Mch. Mbarikiwa Mwakipesile, ndugu, mke, watoto na waumini wote kuwa watulivu na kumtumaini Mungu kuwa jambo hilo litafikia tamati kwa utukufu wa Mungu. Siku ya hukumu ya rufaa yake, sisi Askofu tutatuma wawakilishi wetu pia ili kujua kinachoendelea. Mtu ye yote atakayenyoosha mkono wake juu ya Mch Mbarikiwa Mwakipesile au familia yake mahali po pote kwa uonevu au kutaka kufinya haki zake ajue kuwa atabainika kwani taarifa hizo hazitafichika milele (Mwanzo 4:15-16). Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate! Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula Dar es Salaam, 27 Januari 2024; 10:25 jioni