Перейти к содержимому

KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH : IBADA YA MORNING GLORY (THE SCHOOL OF HEALING) - 12 JAN 2024.

KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH

0:00 / 0:00

KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH : IBADA YA MORNING GLORY (THE SCHOOL OF HEALING) - 12 JAN 2024.

4 190 просмотров · Трансляция закончилась 2 года назад
KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH
64,2 тыс. подписчиков
4 190 просмотров · Трансляция закончилась 2 года назад
KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH : IBADA YA MORNING GLORY (THE SCHOOL OF HEALING) - 12 JAN 2024. UJUMBE WA LEO: MAOMBI YA KUATAMIA (PUSH- Pray Untill Something Happens) Yakobo 5 : 16 Kumbu kumbu 8 : 18 Yakobo 5 : 16 16 Ungameni dhambi zenu ninyi kwa ninyi, na kuombeana, mpate kuponywa. Kuomba kwake mwenye haki kwafaa sana, akiomba kwa bidii. Kumbu kumbu 8 : 18 18 Bali utamkumbuka Bwana, Mungu wako, maana ndiye akupaye nguvu za kupata utajiri; ili alifanye imara agano lake alilowapa baba zako, kama hivi leo. AGENDA ZA MAOMBI 1. Toba kwenye Eneo la Uchumi. 2. Kuitia damu ya Yesu kwenye Eneo la UCHUMI. 3.Ombea Maono na Mipango yako ya Kiuchumib kwa mwaka huu wa 2024 Mhubiri: Mwl. Eng. Goodluck Mushi. Kwa maombi na ushauri : Mch. Kiongozi: Dr. Eliona Kimaro Yakobo 5 : 16 Simu: +255 655 516 053, +255 754 516 053 Mch. Msaidizi: Anna Kuyonga Simu: +255 713 553 443 YouTube: Kijitonyama Lutheran church Barua Pepe: Kijitonyamalutheran@gmail.com