Перейти к содержимому

VIWANJANI | Singida BS Kutumia dimba la Uhuru, Azam FC yajipanga kwa Makundi Kombe la Shirikisho.

Azam TV

0:00 / 0:00

VIWANJANI | Singida BS Kutumia dimba la Uhuru, Azam FC yajipanga kwa Makundi Kombe la Shirikisho.

2 499 просмотров · 18 ч назад
Azam TV
3,34 млн подписчиков
2 499 просмотров · 18 ч назад
VIWANJANI | ''sasa tunataka kwenda robo fainali '' Meneja Habari na Mawasiliano wa Singida BS, Hussein Masanza amesema klabu hiyo imetuma barua ya maombi ya kutaka kutumia Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kucheza mechi zake za nyumbani katika hatua ya makundi ya michuano ya kimataifa. Masanza amesema hatua hiyo imekuja kufuatia klabu hiyo kufanikiwa kufuzu hatua ya makundi, huku wakitarajia kutumia dimba hilo kama uwanja wao wa nyumbani katika michezo hiyo.