Перейти к содержимому

DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | 18.09.2026 | Mchana | Swahili Habari leo | Podcast

DW Kiswahili

0:00 / 0:00

DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | 18.09.2026 | Mchana | Swahili Habari leo | Podcast

10 908 просмотров · Трансляция закончилась 14 часов назад
DW Kiswahili
335 тыс. подписчиков
10 908 просмотров · Трансляция закончилась 14 часов назад
Pamoja na mengine mengi, haya ni kati ya tuliyokuandalia +++Warusi wameanza leo zoezi la kupiga kura katika uchaguzi wa bunge, serikali za mitaa na mabaraza ya miji utakaondelea kwa siku tatu +++ Marekani imeidhinisha uwezekano wa kuiuzia Saudi Arabia ndege za kisasa za kivita aina ya F-35 +++ Vita vinavyoendelea Mashariki ya Kati, Ukraine na Sudan kutawala mijadala ya Mkutano wa Baraza Kuu la UN #dwkiswahili #DWSwahili #HabariLeo #RipotiNaUchambuzi #TaarifaYaHabari #DWKiswahiliPodcast /Ukitaka kupata habari zetu kila siku, bonyeza 'subscribe' kwenye chaneli yetu ya DW Kiswahili.