Перейти к содержимому

Hofu ya Mabadiliko | Fear of Change | Rev. Dr. Eliona Kimaro

Rev. Dr. Eliona Kimaro

0:00 / 0:00

Hofu ya Mabadiliko | Fear of Change | Rev. Dr. Eliona Kimaro

10 594 просмотра · 2 года назад
Rev. Dr. Eliona Kimaro
214 тыс. подписчиков
10 594 просмотра · 2 года назад
IBADA YA MORNING GLORY (THE SCHOOL OF HEALING)* 08/ 07/ 2024 SEMINA YA NENO LA MUNGU UJUMBE WA LEO:"HOFU YA MABADILIKO" (FEAR OF CHANGE) NENO KUU: "UTABARIKIWA UINGIAPO, UTABARIKIWA NA UTOKAPO" Kumbukumbu la Torati 28 : 6 Yohana 12 : 24 24 Amin, amin, nawaambia, Chembe ya ngano isipoanguka katika nchi, ikafa, hukaa hali iyo hiyo peke yake; bali ikifa, hutoa mazao mengi. WHAT IS METATHESIOPHOBIA METATHESIOPHOBIA is the Fear of Change, which may be rooted in a human desire to keep life in a comfortable and consistent place. METATHESIOPHOBIA: Ni HOFU YA MABADILIKO, ambayo inaweza kuwa na Mizizi ktk KIU & HITAJI kubwa la binadamu la kuweka maisha mahali pa utulivu na kupumzika kwa uthabiti wa Daima. "MAHALI PEMA PEPONI" Mhubiri: Rev. Dr. Eliona Kimaro Kwa maombi na ushauri : Mch. Kiongozi: Dr. Eliona Kimaro Simu: +255 655 516 053, +255 754 516 053