Перейти к содержимому

SOMA SURAH HII MARA 1 KWA SIKU 7 UPATE MAFANIKIO MUSTAHILI MAISHANI | Mohamed Alidini

Mohamed Alidini

0:00 / 0:00

SOMA SURAH HII MARA 1 KWA SIKU 7 UPATE MAFANIKIO MUSTAHILI MAISHANI | Mohamed Alidini

5 394 просмотра · 1 год назад
Mohamed Alidini
18,5 тыс. подписчиков
5 394 просмотра · 1 год назад
Je, unajua kuwa Qur'an Tukufu inahifadhi surah, ayah na dua maalum za kukuwezesha kubadilisha yako yoyote? Leo tunakuletea siri hiyo! Kwa kutumia Surah na Dua hizi, utaweza kuvuka changamoto zako na kufanikisha malengo yako maishani. Hii ni siri ambayo wengi hawajui, lakini walioitumia wameona matokeo ya ajabu. Je, uko tayari kuijua? Usisahau ku-like, ku-share, na ku-subscribe kwa mafunzo zaidi kama haya ya Qur'an na siri za mafanikio! Safari ya kila mmoja wetu ni ya kipekee. Siri hii inaweza kuwa msaada unaohitaji kwa hatua yako inayofuata! ---------------------------------------------------------------------------------------- Maelezo yake: Surah: MARYAM Ayah: NZIMA ----------------------------------------------------------------------------------------- Utaratibu wake:  Kuwa na Yaqeen kuhusu siri na faida za Qur’an Tukufu.  Soma Surah Maryam mara moja kila siku kwa muda wa siku 7 za kufuatana.  Siku ya saba ukimaliza kusoma hiyo Surah soma Dua ifuatayo mara 100:  بسم الله الرحمن الرحيم. اللهم صل وسلم وبارك وزد وسلم على سيدنا محمد وعلى آله وصحبه وسلم. «اللَّهُمَّ بِحَقِّ مَا أَنْزَلْتَهُ فِي كهيعص وَأَسْرَارِهَا وَبَرَكَاتِهَا وَأَنْوَارِهَا أَنْ تُحَقِّقَ لِي مَاأَتَمَنَّاهُ مِنْ كَذَا وَكَذَا».  Unaweza rudia kuifanya faida hii kila unapokuwa na haja zako maishani. ------------------------------------------------------------------------------------------ Shukran kwa kujisajili Channel yangu! ---------------------------------------------------------------------------------------------- Copyright Notice: ► Every content we made are licensed to our channel. ► All audios, videos and images are copyrighted and fully licensed. ► Elements used in this video are edited by us are copyrighted and fully licensed. ► So, you do not have permission to use or reupload our content without our permission. ********************************************************************** Copyright © 2025 Mohamed Alidini. All rights reserved. **********************************************************************