Перейти к содержимому

Biashara Inaweza Kukua Bila Mkopo? Ndiyo — Kama Una Data Sahihi | Data Podcast EP 8 | Eng. Kabenda

Eng Kabenda Balete и BONGO BROTHERS

0:00 / 0:00

Biashara Inaweza Kukua Bila Mkopo? Ndiyo — Kama Una Data Sahihi | Data Podcast EP 8 | Eng. Kabenda

9 138 просмотров · 4 месяца назад
Eng Kabenda Balete и BONGO BROTHERS
9 138 просмотров · 4 месяца назад
Inawezekana kabisa biashara kuwa na faida kwenye karatasi… lakini ikakosa pesa mfukoni. Katika trailer ya Episode 4 ya Data Podcast – Powered by UzaDigit | Pesa Talk, Eng. Kabenda Balete anafungua mjadala muhimu kuhusu Cash Flow (mtiririko wa fedha) — moja ya sababu kubwa zinazofanya biashara nyingi kufilisika kimya kimya. Ndani ya episode hii utajifunza: • Kwa nini biashara yenye faida inaweza kufa • Tofauti kati ya cash inflow na cash outflow • Makosa ya kawaida ya matumizi yanayoathiri biashara • Jinsi data inavyokusaidia kufuatilia fedha zinapoingia na kutoka Ukishindwa kuelewa cash flow, unaweza kupoteza biashara hata kama una faida. Dhibiti fedha zako, okoa biashara yako. Subscribe sasa usikose episode kamili. #DataPodcast #BiasharaKwaData #UzaDigit #SMETanzania #PesaTalk