TUPOKEE MAMA MARIA - Official Music Video
KYM NEWLAND
0:00 / 0:00
TUPOKEE MAMA MARIA - Official Music Video
3 581 просмотр · 11 месяцев назад
KYM NEWLAND
672 подписчика
3 581 просмотр · 11 месяцев назад
Katika ulimwengu uliojaa vurugu, vita, magonjwa, njaa, ukame wa imani, ugomvi, wivu, hasira, na kila aina ya maovu - ni kwa Mama Maria tunapata utulivu, faraja, na amani ya kweli. Tukimbilie kwa Mama, kwani kupitia maombezi yake tunaweza kushinda vishawishi na hila za yule mwovu, shetani.
“Tupokee Mama Maria” ni wimbo wa sala unaotukumbusha nafasi ya Bikira Maria kama Mama wa Rehema, anayetuombea na kutuongoza katika njia ya wokovu.
Ni wito wa kurudi kwa Mungu kwa moyo wa toba, upendo, na imani thabiti.
Usiache kusubscribe, like, comment na kushare.
Wimbo: Tupokee Mama Maria
Waimbaji: Kwaya ya Yesu Mkombozi(KYM)-Newland
Mtunzi: P.F. Mwarabu
Audio: Banally Productions
Kinanda: Thomas Mrimi
Video: Divine Studios