ZABURI JUMAPILI YA 4 YA PASAKA
MARY QUEEN OF APOSTLES CHOIR
0:00 / 0:00
ZABURI JUMAPILI YA 4 YA PASAKA
1 151 просмотр · 5 лет назад
MARY QUEEN OF APOSTLES CHOIR
463 подписчика
1 151 просмотр · 5 лет назад
WIMBO WA KATIKATI: Zab. 117: 1, 8-9, 21-23, 26, 28-20
Jiwe walilokataa waashi, Limekuwa jiwe kuu pembeni.
Mshukuruni Bwana kwa kuwa ni mwema, Kwa maana fadhili zake ni za milele. Ni heri kumkimbilia Bwana Kuliko kuwatumainia wanadamu, Ni heri kumkimbilia Bwana Kuliko Kuwatumainia wakuu. (K)
Nitakushukuru kwa maana umenijibu, Nawe umekuwa wokovu wangu. Jiwe walilolikataa waashi Limekuwa jiwe kuu pembeni. Neno hili limetoka kwa
mwa Bwana. Ndiwe Mungu wangu, nami nitakutukuza. Mshukuruni Bwana kwa kuwa ni mwema, Kwa maana fadhili zake ni za milele. (K)