Перейти к содержимому

Bei za vyakula zazidi kupaa nchini

Azam TV

0:00 / 0:00

Bei za vyakula zazidi kupaa nchini

5 246 просмотров · 4 года назад
Azam TV
3,31 млн подписчиков
5 246 просмотров · 4 года назад
Kwa mujibu wa Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara Wiki hii Mahindi gunia kilo mia moja limeuzwa kwa shilingi 93,400 Ukilinganisha na Wiki iliyopita ambapo gunia liliuzwa kwa shilingi 92,600 na kufanya unga wa Ugali kuuzwa kilimo kiasi cha shilingi elfu mbili mpaka elfu moja mia nane.