Перейти к содержимому

Ukiwa na dalili hizi yawezekana ni H-Pylori - Dr. Colleta Mtembei

PMC TV

0:00 / 0:00

Ukiwa na dalili hizi yawezekana ni H-Pylori - Dr. Colleta Mtembei

533 просмотра · 2 месяца назад
PMC TV
998 подписчиков
533 просмотра · 2 месяца назад
🏥 Platinum Medical Care Hospital | Huduma Bora & Kujali Ndio Kipaumbele Chetu Karibu kwenye chaneli rasmi ya PMC TV! Hapa tunaleta kwako huduma bora za afya, elimu ya tiba, ushauri wa kitaalamu, na simulizi halisi za mabadiliko ya maisha. 🎯 Malengo Yetu: 👉Kutoa elimu sahihi kuhusu afya na magonjwa mbalimbali 👉Kukuonyesha huduma zetu na namna zinavyowasaidia wagonjwa 👉Kuhamasisha jamii kuchukua hatua mapema kwa ajili ya afya bora 👉Kuweka wazi upatikanaji wa huduma kwa njia rafiki na ya kisasa 👩‍⚕👨‍⚕ Tutakuletea: 🪴Ushauri kutoka kwa madaktari bingwa 🪴Video fupi za kuelezea magonjwa, kinga, tiba pamoja na matukio ya afya 🪴Huduma maalum kwa watoto, wanawake, wazee, na dharura 🪴Taarifa kuhusu kambi za afya, maonyesho, na kampeni za kitabibu 🔔 Subscribe ili usipitwe na vipindi muhimu kuhusu afya yako na ya familia yako! | Afya Bora huanza na Taarifa Sahihi – Jiunge nasi leo!