Перейти к содержимому

NENO LAKO

Bravaida Studio

0:00 / 0:00

NENO LAKO

260 просмотров · 1 мес. назад
Bravaida Studio
24 подписчика
260 просмотров · 1 мес. назад
Kwa wimbo huu tunamtukuza Mungu kwa uaminifu wa Neno lake lisilobadilika. Tunaweza kusema kile ambacho Mungu amekwisha kusema na kusimama imara katika neno lake pasipo kuyumbishwa. Tunatazama utambulisho wetu ndani ya Kristo, na kuishi kwa imani hata katikati ya yale yanayoonekana kama yana mashaka. Tunalifurahia na kulishikilia Neno la Mungu mchana na usiku—kwa kuwa kile Mungu amesema ndicho tunachokiamini na kukitangaza.