Перейти к содержимому

🎶 SIFU SIFU YESU MWOKOZI WA WATU | Nyimbo za Mungu 3

Cyprus Christian Tabernacle Choir

0:00 / 0:00

🎶 SIFU SIFU YESU MWOKOZI WA WATU | Nyimbo za Mungu 3

77 просмотров · 10 дней назад
Cyprus Christian Tabernacle Choir
38 подписчиков
77 просмотров · 10 дней назад
Nyimbo za Mungu 3. SIFU SIFU YESU MWOKOZI WA WATU 1. Sifu Sifu Yesu Mwokozi wa watu Imba kutangaza mapenda yake Malaika vile, Mulete heshima ; Jina lake kweli ni takatifu Bwana Yesu anatulinda sana, Kama mushungaji anatubeba. Sifu Sifu Yesu Mwokozi wa watu Sifu Sifu Imba ukubwa wake. 2. Sifu Sifu Yesu Mwokozi wa watu Kwa makosa alitukufilia ; Kristo, Mwamba, matumaini ya roho Alitukomboa na damu yake. Imba sifa kwake aliyeteswa Kwa kutuonyesha mapendo yake. 3. Sifu Sifu Yesu Mwokozi … watu Kule mbingu wanamwimbia sifu ; Yesu Kristo, mwenye kushinda daima, Ni Mufalme, Nabii, Kuhani wetu. Atakuja kwa kutawala hapa, Yesu mwenye enzi na utukufu. Cfr/ RS 312 CH324 IH223 SSS208 _________________________________________________________ Don’t forget to subscribe to our channel to join us for future hymns, praises, and choir ministrations. May God bless you richly! — Cyprus Christian Tabernacle Choir #CyprusChristianTabernacleChoir #CyprusChristianTabernacle #Worship #Hymns #ChoralMusic #Gospel #Louange