Перейти к содержимому

Tazameni| AIC Milimani Nairobi KE - Mabalozi Choir

AIC Milimani Mabalozi Choir

0:00 / 0:00

Tazameni| AIC Milimani Nairobi KE - Mabalozi Choir

30 598 просмотров · 2 года назад
AIC Milimani Mabalozi Choir
1,56 тыс. подписчиков
30 598 просмотров · 2 года назад
Tazameni ni wimbo unaotokana na maandiko matakatifu ya Bibilia kwenye kitabu cha Isaya 40:10-11. Ni maombi na tamanio letu kwamba kupitia maneno ya wimbo huu tutaokolewa, tubarikiwe na tuhimizwe katika wokovu. "Tazameni, Bwana Mungu atakuja kama shujaa, Na mkono wake ndio utakaomtawalia; Tazameni, thawabu yake i pamoja naye, Na ijara yake i mbele zake. 11 Atalilisha kundi lake kama mchungaji, Atawakusanya wana-kondoo mikononi mwake; Na kuwachukua kifuani mwake, Nao wanyonyeshao atawaongoza polepole. Shukrani: Kanisa: AIC Milimani Nairobi KE Kwaya: Mabalozi Choir Mwalimu:Daudi T. Shigela Producer: LMJ Studio Lokesheni: Uhuru Park #Albumlaunch #MabaloziChoir #AICMilimaniNairobiKE