BABA OLIVIA SEASON 01 RECAP EPISODE 6 TO 11
Henry Mwakajumba
0:00 / 0:00
BABA OLIVIA SEASON 01 RECAP EPISODE 6 TO 11
12 145 просмотров · 5 дней назад
Henry Mwakajumba
182 тыс. подписчиков
12 145 просмотров · 5 дней назад
Miaka karibu mitatu imepita tangu tulipoanza safari ya Baba Olivia Season 01. Kabla hatujaingia kwenye season yetu mpya, ni wakati wa kujikumbusha kidogo jinsi kila kitu kilivyoanza. ❤️🎬
Katika recap hii, Olivia anatukumbusha Episode 6 hadi Episode 11 za Baba Olivia Season 01. Matukio, wahusika na moments muhimu zilizoanza kujenga simulizi la Baba Olivia.
Kama uliwahi kufuatilia Season 01, hii ni nafasi ya kujikumbusha kwa mara nyingine. Na kama unaanza sasa, hii itakusaidia kuifahamu story kabla ya Baba Olivia Season 02. 👀🔥
Hii ni Part 2 kati ya 3 za Baba Olivia Season 01 Recap.
Endelea kufuatilia sehemu zinazofuata na jiandae kwa Baba Olivia Season 02.
🎬 BABA OLIVIA SEASON 01
📺 Recap: Episode 6-11
#BabaOlivia #BabaOliviaS01 #BabaOliviaS02 #BabaOliviaSeason2 #BabaOliviaRecap #TanzaniaSeries