Перейти к содержимому

ONEVOICE27 IMEKUJA KWA WAKATI WAKE || PR GEOFRY MBWANA

Sauti ya UNABII TV

0:00 / 0:00

ONEVOICE27 IMEKUJA KWA WAKATI WAKE || PR GEOFRY MBWANA

821 просмотр · 4 часа назад
Sauti ya UNABII TV
1,65 тыс. подписчиков
821 просмотр · 4 часа назад
Bwana yesu asifiwe, katika wakati huu ambao umejawa na mashaka,kukata tamaa,na mauaji mengi ya kikatili,unyanyasaji wa kijinsia, Mungu anakutaka wewe na mimi kwaajili ya kufikisha tumaini lililopotea kwa wanadamu wenzetu. nikualike uweze kumtukuza Mungu kwa kuwapa tumaini lenye baraka wote ambao wamekata tamaa na wanahitaji tumaini ambalo linatoka kwa Kristo