Перейти к содержимому

Sunday Service 30/08/2026

Free Wesleyan Methodist Church Adelaide

0:00 / 0:00

Sunday Service 30/08/2026

159 просмотров · 3 недели назад
Free Wesleyan Methodist Church Adelaide
188 подписчиков
159 просмотров · 3 недели назад
Karibu kwenye channel rasmi ya Free Wesleyan Methodist Church (Fwmc Adl). "Maana kila atakayeliitia Jina la Bwana ataokoka. Basi watamwitaje yeye wasiyemwamini? Tena watamwaminije yeye wasiyemsikia? Nao watamsikiaje pasipo mhubiri?" — Warumi 10:13–14 | MPAKA WOTE WASIKIE | Tunashiriki mahubiri, mafundisho ya Biblia, ibada, maombi, na ujumbe wa kumtangaza Yesu Kristo. Dhamira yetu ni kuwafanya watu kuwa wanafunzi wa Kristo, wakikua katika imani, utakatifu, na upendo wa Mungu. | Ratiba ya Ibada | Kila Jumapili | Saa 8:00 mchana – Saa 11:00 jioni (2:00 PM – 5:00 PM) | Ungana nasi | Facebook: Free Wesleyan Methodist In Adelaide Instagram: @fwmc.adl Phone: 0402 120 283 Gmail: freewesleyanmethodistchurch@gmail.com Kueneza Injili • Kujenga Wanafunzi • Kumtukuza Mungu