Перейти к содержимому

DUNIANI HAPA SI KWETU BY INZAMBA GROUP TZ

Inzamba Group Acapella Official

0:00 / 0:00

DUNIANI HAPA SI KWETU BY INZAMBA GROUP TZ

9 575 просмотров · 3 г. назад
Inzamba Group Acapella Official
3,2 тыс. подписчиков
9 575 просмотров · 3 г. назад
Yohana 16: 33 "Hayo nimewaambieni mpate kuwa na amani ndani yangu. Ulimwenguni mnayo dhiki; Lakini jipeni moyo; Mimi nimeushinda ulimwengu." Duniani sio kwetu twaelekea juu mbinguni; Dhiki na taabu za dunia hii ni za kitambo tu; Hakika zitakwisha. Kila mmoja wetu na asemezane na mwenzake kwamba walio wake Bwana tu ndio wataishi milele katika nchi mpya.  Wakati mwingine vifo, ajali na magonjwa mbalimbali yatukatisha tamaa lakini tunaye Mungu wa Mbinguni anayeruhusu kila jaribu litupate kwa ajili ya kutuandaa kwa ajili uzima wa milele. Japo njiani kuna vikwazo vingi hebu kwa ujasiri na tusonge mbele Mungu wetu ni mshindi atatutendea yaliyo mema.